1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

JERUSALEM: Olmert ameapa kuendelea na mashambulio

18 Julai 2006

Waziri mkuu wa Israel,Ehud Olmert ameapa kuwa mashambulio yataendelea nchini Lebanon mpaka wanajeshi wa Kiisraeli waliyotekwa nyara watakapoachiliwa huru.Sharti jingine la kusitisha mapigano amesema ni kuwanyanganya silaha wanamgambo wa Hezbollah na eneo la kusini nchini Lebanon lidhibitiwe na jeshi la taifa.Kundi la Hezbollah limesema linakataa masharti yo yote yanayowekwa na Israel.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW