1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

JERUSALEM: Vikosi vya Israel vimeingia Ukanda wa Gaza

17 Juni 2007

Ripoti zinasema,Israel imepeleka vikosi na vifaru vyake,kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.Kwa mujibu wa afisa mmoja katika wizara ya ulinzi ya Israel, hatua hiyo ni ya kujikinga tu.