1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

JERUSALEM: Wapalestina 2 wauawa Ukanda wa Gaza

25 Agosti 2007

Wanajeshi wa Kiisraeli wamewaua watu wawili waliobeba silaha na kujaribu kujipenyeza Israel kutoka kaskazini ya Ukanda wa Gaza,kwa kupitia uzio wa mpakani.

Hapo awali vikosi maalum vya Israel viliuvamia mji wa Jenin katika Ukingo wa Magharibi.Vikosi hivyo vya usalama vilimuua kamanda wa kundi la Islamic Jihad.Duru za Kipalestina zimesema, alieuawa ni Ala Abu Surur ambae alikuwa akisakwa na jeshi la Israel.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW