1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

JERUSELEM: Bunge la Israel limeidhinisha mpango ...

13 Januari 2004
wa serikali ya waziri mkuu Ariel Sharon wa kuyagawa maeneo ya ardhi za wapalestina.Knesset imeidhinisha mpango huo kwa kura 51 kwa 39.Ikiwa serikali ya Sharon itaamua kusonga mbele kutekeleza mpango huo,utaiona Israel ikiharakisha kukamilisha ujenzi wake wa ukuta katika ukingo wa Magharibi na kun'goa maskani za walowezi wa kiyahudi.Sharon anadai mpango huo utaimarisha usalama kwa waisraeli endapo mpango wa njia ya amani wa kimataifa-Road Map ukishindwa.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW