1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mali

Jeshi la Mali ladhibiti usalama baada ya shambulio Bamako

01:43

This browser does not support the video element.

18 Septemba 2024

Hali ya utulivu umeanza kurejea katika mji mkuu wa Mali, Bamako. Hayo ni kulingana na jeshi la taifa hilo ambalo limesema limefanikiwa kudhibiti hali baada ya shambulio. Kundi la kigaidi lenye mafungamano na mtandao wa Al-Qaeda lilidai kuhusika na shambulio hilo. Jeshi hilo limesema washukiwa wa kigaidi waliofanya mashambulizi hayo wamekamatwa.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW