SiasaJeshi la polisi Hong Kong latishia kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji00:53This browser does not support the video element.Siasa18.11.201918 Novemba 2019Maandamano mjini Hong Kong yamekumbwa na ghasia mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa, na maafisa wa polisi sasa wametishia kutumia risasi za moto sdhidi ya waandamanaji. Mengi zaidi ni katika vidio hii ya KurunziNakili kiunganishiMatangazo