Aliyekuwa msemaji wa serikali ya Uganda katika mazungumzo ya kutafuta amani na waasi wa LRA mjini Juba Kapteni Paddy Ankunda ameteuliwa tena kuwa msemaji wa kikosi cha jeshi la uganda UPDS kitakachokwenda kulinda amani nchini Somalia.
Matangazo
Omar Mutasa ni mwandishi wetu wa Kampala alizungumza na kapteni Ankunda juu ya hilo na kwanza alimuuliza endapo kikosi cha jeshi la Uganda kiko tayari kulinda amani Somalia.