SiasaUgandaJeshi la Uganda linavyojihusisha kwa karibu na uchaguzi mkuu04:14This browser does not support the video element.SiasaUgandaSaumu Mwasimba08.01.20268 Januari 2026Uganda iko chini ya siku sita kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, bunge na udiwani. Lawama zinaelekezwa kwa jeshi linaloongozwa na Muhoozi Kainerugaba kwa madai ya kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuwanyanyasa wapinzani.Nakili kiunganishiMatangazo