SiasaJeshi la Zimbabwe halitoshawishi uchaguzi01:03This browser does not support the video element.SiasaJosephat Charo05.07.20185 Julai 2018Jeshi la Zimbabwe limeahidi kutoegemea upande wowote wakati wa uchaguzi ujao, likipuuzilia mbali madai kwamba litawatuma maafisa wake kushawishi mwenendo wa uchaguzi huo uliopangwa kufanyika tarehe 30 mwezi huu wa Julai.Nakili kiunganishiMatangazo