1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani kuondoa wanajeshi wake Mali kunamaanisha nini ?

02:02

This browser does not support the video element.

28 Aprili 2023

Ushirikiano wa baadaye wa Ujerumani katika eneo la Sahel unaonekana kutokuwa na uhakika baada ya tangazo la mpango wa kuondoka kwa wanajeshi wake kutoka Mali. Baadhi ya wachambuzi wanahofia kwamba kujitenga huku kijeshi kunaweza kuathiri mipango mingine ya maendeleo ya raia. Je, mahusiano ya baadaye kati ya Mali na Ujerumani yatakuwaje baada ya kuondoka kwa jeshi la Ujerumani nchini humo?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW