JamiiAfrikaJinsi kampuni ya mpira inaboresha maisha ya walemavu Kenya01:35This browser does not support the video element.JamiiAfrika28.08.202328 Agosti 2023Kampuni ya Alive and Kicking inayotengeneza mipira ya michezo imeongeza idadi ya watu wenye ulemavu kuwa wafanyakazi wake kiwandani. Kampuni hiyo inasema huo ni mchango wake kufikia malengo ya maendeleo endelevu ya jamii.Nakili kiunganishiMatangazo