1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jinsi mchezo wa tenisi unavyobadili maisha ya watoto nchini Uganda

03:53

This browser does not support the video element.

27 Oktoba 2021

Kutana na Amina Lukaya, binti anayehamasisha watoto wanaoishi mtaa wa mabanda wa Naguru, nchini Uganda kukumbatia mchezo wa tenisi ya mezani. Kupitia mchezo huo, watoto hao sasa wamepata fursa ya kupokea ufadhili wa masomo yao. Je kupitia juhudi za Amina Lukaya, Uganda itaweza kupata vipaji kama vya kina Serena Williams na Naomi Osaka?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW