1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jiwe la Bismarck

01:44

This browser does not support the video element.

13 Desemba 2018

Ijue historia ya Ujerumani katika jiji la Mwanza kupitia mwamba wa jiwe la Bismack. Mwamba huo uliopo ndani ya ziwa Victoria katika eneo la Kamanga Feri ulipewa jina la kansela wa kwanza kabisa wa Ujerumani Otto Von Bismarck. Swali ni je kwa nini jina la kansela Bismarck katika Mwamba huu? Tazama video hii upate majibu yako.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW