1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

JOHANNESBURG: Rais mstaafu Nelson Mandela atimiza miaka 89

18 Julai 2007

Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini,Nelson Mandela hii leo ametimiza miaka 89.Afrika ya Kusini imeadhimisha siku ya kuzaliwa kwake,kwa kumsifu na kumpongeza kiongozi huyo mashuhuri aliepinga utawala wa ubaguzi wa rangi.Mandela hii leo pia anazindua kundi jipya la kimataifa kusaidia kutenzua matatizo ya kimataifa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW