1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Joto lahusishwa na vifo vya watu 3,100 Ujeumani

30 Septemba 2023

Watafiti wa afya wa taasisi ya Robert Koch (RKI) ya Ujerumani wamesema kwa mwaka huu pekee takriban watu 3,100 wamekufa kwa joto.

126. Deutscher Ärztetag | Pressekonferenz zu Affenpocken
Picha: Sina Schuldt/dpa/picture alliance

Watafiti wa afya wa taasisi ya Robert Koch (RKI) ya Ujerumani wamesema kwa mwaka huu pekee takriban watu 3,100 wamekufa nchini Ujerumani kutokana na joto kali.Idadi kubwa ya waliopoteza maisha ni wa umri miaka 75 au zaidi. Utafiti unaonesha, wanawake hufa zaidi kuliko wanaume kutokana na joto, kwa kuwa kuna na idadi kubwa ya wanawake miongoni mwa wazee.Rekodi za taasisi RKI zinaonesha vifo vinavyohusiana na joto nchini Ujerumani kufikia watu 6,000 katika miaka ya 2018, 2019 na 2015. Lakini katika miaka ya 2014, 2016, 2017 na 2021, kulikuwa na vifo kati ya 1,000  na 1,700.

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW