1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuangamiza kabisa Malaria visiwani Zanzibar

02:49

This browser does not support the video element.

27 Desemba 2019

Visa vya maambukizi ya ugonjwa wa Malaria vimepungua kwa kiasi kikubwa kisiwani Zanzibar kufuatia mradi wa uchunguzi. Katika zaidi ya muongo mmoja, mradi huo umeleta mageuzi katika vituo vya afya. Je kuna uwezekano Malaria kuangamizwa kabisa Zanzibar hivi karibuni?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW