1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuepusha athari za mafuriko jijini Dar es Salaam

02:53

This browser does not support the video element.

30 Mei 2022

Baada ya kukosekana ufumbuzi wa athari za kutanuka kwa Mto Msimbazi, wakazi wa mtaa wa Butiama, jijini Dar es Salaam, wameanza tumia makumbi ya nazi kunusuru nyumba zao huku kukiwa na dalili za barabara na maghala ya wawekezaji wkubwa pia kuathirika na hali hii ambayo imekuwepo kila msimu wa mvua. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW