1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaRwanda

Juhudi za kukabili changamoto za afya ya akili nchini Rwanda

02:58

This browser does not support the video element.

8 Machi 2023

Mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda 1994, yangali yanawatatiza wengi akili. Inakadiriwa kuwa mmoja kati ya Wanyarwanda sita, huugua mfadhaiko au msongo wa mawazo. Lakini katika taifa ambalo afya ya akili hupuuzwa, Amanda Akaliza ameanzisha juhudi za kutoa tiba na kupambana na unyanyapaa kuhusu ugonjwa huo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW