JamiiKenyaJuhudi za kupambana na majanga ya moto Baringo, Kenya02:37This browser does not support the video element.JamiiKenyaWakio Mbogho28.11.202428 Novemba 2024Kaunti ya Baringo nchini Kenya imepata nafasi ya wazima moto wake kupigwa msasa wa mafunzo na wakufunzi wa Kijerumani. Wanafundishwa mbinu na jinsi ya kutumia zana na vifaa vya kuzima moto. Nakili kiunganishiMatangazo