1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuwasaidia kina mama wanaojifungua watoto njiti Uganda

03:57

This browser does not support the video element.

4 Novemba 2021

Takwimu za wizara ya afya Uganda zaeleza kuwa watoto njiti 226,000 huzaliwa nchini humo kila mwaka na kati ya idadi hiyo watoto 12,500 hufariki wakiwa chini ya miaka mitano. Kutokana na hali hiyo, mama mmoja ameamua kufungua shirika la kuwaliwaza na kuwasaidia kina mama hao. Ibrahim Swaibu na mengi zaidi kwenye video hii.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW