Jumuiya za kiraia – Kipindi 9 – Watoto wa mitaani07.04.20117 Aprili 2011Tuzungumzie juu ya watoto wa mitaani na kujumuishwa kwao tena katika jamii. Tunakitambulisha kituo cha Kinsupa kinachowapa fursa ya pili watoto hawa. Kiko karibu na mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.Nakili kiunganishiMatangazo