Kabila azungumzia matukio ya wiki iliopita
27 Machi 2007Matangazo
Kwenye mkutano na wandishi wa habari rais Kabila ametupilia mbali mazungumzo ya aina yeyote ile na bwana Bemba, na kuendelea kusema kwamba Bemba na watu wake wanapaswa kujibu kwa yale walioyatenda.
Sikilita taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.