SiasaKabila: 'Sitabakia madarakani kwa nguvu'15.11.201615 Novemba 2016Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila, amesema hana mpango wa kung'ang'ania madaraka. Ameahidi kuwa uchaguzi mkuu utafanyika ndani ya miezi michache badala ya mwishoni mwa mwaka 2016.Nakili kiunganishiRais wa DRC Jospeh KabilaPicha: Reuters/T. NegeriMatangazoJ3 15.11 Kongo: - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.