1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabudi na Lukuvi wapangiwa kazi maalum

01:12

This browser does not support the video element.

10 Januari 2022

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa ufafanuzi juu ya viongozi wawili waliowachwa katika baraza jipya la mawaziri lililotangazwa mnamo siku ya Jumamosi. Bi. Samia amesema amewapangia kazi maalum aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW