1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KABUL: Mapambano kusini mwa Afhanistan

9 Mei 2005

Jeshi la Marekani linasema,zaidi ya wapiganaji 20 wa Kitaliban na wanajeshi 9 wa Afghanistan wameuawa katika mapigano yaliozuka katika jimbo la kusini la Kandahar.Hivi karibuni nchini Afghanistan mashambulio ya waasi yamezidi,na yalizuka mapambano makali kabisa ambayo hayakuwahi kutokea tangu kuanguka kwa serikali ya Taliban zaidi ya miaka mitatu ya nyuma.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW