1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KABUL: Mashambulio yameua raia Afghanistan

10 Mei 2007

Raia 21 wameuawa katika shambulio la angani nchini Afghanistan.Gavana wa mkoa wa Helmand kusini mwa nchi amesema,wanawake na watoto ni miongoni mwa wale waliouawa.Kwa upande mwingine maafisa wa kijeshi wa Marekani wamesema mwanajeshi wao mmoja aliuawa katika mapigano na waasi wa Kitaliban katika wilaya ya Sangin huko Helmand.Wakati huo huo wakasema kuwa wao hawana habari yo yote kuhusu vifo vya raia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW