1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabul. Mripuko wauaa watu 28.

2 Mei 2005

Watu 29 wameuawa baada ya bohari la silaha kuripuka kaskazini mwa Afghanistan.

Taarifa iliyotolewa na serikali pia imefahamisha kwamba watu wengine sabini wamejeruhiwa.

Msemaji wa wizara ya ndani ya Afghanistan bwana Lutfullah Mashal ameeleza kwamba eneo lote la karibu ya bohari hilo limeteketezwa.

Kuna hofu kwamba wanawake na watoto ni miongoni mwa wahanga wa ajali hiyo.

Uchunguzi juu ya ajali hiyo unafanyika.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW