1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabul: Wanajeshi 14 wa Kiengereza wafariki katika ajali ya ndege huko Afghanistan

3 Septemba 2006

Jeshi la Uengereza linachunguza kuanguka kwa ndege huko Afghanistan ambako wanajeshi 14 wa Uengereza waliuwawa. Ndege hiyo ilianguka jana katika mkoa wa Kusini wa Kandahar, hivyo kuwa ni hasara kubwa kabisa kwa jeshi la Uengereza huko Afghanistan tangu majeshi yanayoongozwa na Marekani yalipoivamia nchi hiyo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW