1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiNamibia

Kadhia ya ndoa za utotoni Namibia

03:27

This browser does not support the video element.

3 Mei 2023

Hilda Mafuta alikuwa na umri wa miaka 16 wakati bibi yake alimuoza kwa mume aliyekuwa na umri wa miaka 14 zaidi yake. Ndoa hiyo iliyovunjika ilivuruga ujana wake na masomo yake. Kwa sasa anajikakamua kudhibiti mustakabali wake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW