1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kadili aadhibiwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

00:40

This browser does not support the video element.

22 Juni 2018

Kadinali Theodore McCarrick, askofu mstaafu wa kanisa Katoliki katika jimbo Washington ameondolewa katika huduma za kikanisa ili aweze kukabiliwa na adhabu kutokana na kashfa za kingono.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW