1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kagame afungua maonyesho ya Saba Saba

1 Julai 2016

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, yuko ziarani Tanzania ambapo amefungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya Saba Saba Dar es Salaam. Ametaka pawe na ushirikiano thabiti wa kibiashara kati ya Tanzania na Rwanda.

Rais wa Tanzania John Magufuli na Rais wa Rwanda Paul Kagame
Picha: Anthony Siami

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW