1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kamishna mkuu wa UNHCR Antonio Guterres atembelea kambi za wakimbizi mashariki mwa Kongo

15 Oktoba 2009

<p>Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Antonio Guteres yuko katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwa ziara ya siku mbili.

Kamishna Mkuu wa UNHCR,Antonio Guterres,ziarani DRCPicha: picture-alliance/ dpa
Pamoja na mambo mengine anazitembelea kambi mbalimbali za wakimbizi katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.

Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu kutoka Kongo, John Kanyunyu akiwa katika ziara ya Bwana Guteres na alianza kuelezea ziara nzima ya kamishna huyo:

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Hamidou, Oummilkheir

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW