KAMPALA: Museveni aligawanya jeshi la Uganda
24 Oktoba 2005Matangazo
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda ameligawanya jeshi la nchi hyio, Uganda Peoples Defence Forces, UPDF, katika vikosi mbalimblai vya majeshi ya nchi kavu na angani. Amewateua makamanda wapya wa jeshi katika juhudi za kulifanyia marekebisho ya kisasa jeshi la Uganda.