JamiiKampeni ya kuondoa mimea vamizi katika hifadhi ya wanyama pori ya Ngorongoro,Tanzania02:41This browser does not support the video element.Jamii31.05.202131 Mei 2021Tanzania ni moja ya nchi tajiri za Afrika Mashariki kwa wingi wa wanyama pori, lakini sifa hiyo iko hatarini kutoweka kutokana na mbuga ya wanyama pori kuvamiwa na mimea vamizi ambayo inahatarisha maisha ya wanyama wake.Nakili kiunganishiMatangazo