SiasaKampeni ya polisi kutunza amani Kenya24.08.201724 Agosti 2017Idara ya utawala kwenye jeshi la polisi inaendesha kampeni ya kuhimiza amani kote nchini, kwa kuandaa mashindano ya michezo kati ya polisi, wanasiasa na wananchi pamoja na maandamano ya amani. Nakili kiunganishiPicha: DW/W. MboghoMatangazoJ3 24.08 Kenya: Friendly police campaigns - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.