SiasaKampeni za uchaguzi zaanza rasmi DRC 01:22This browser does not support the video element.SiasaAmina Abubakar22.11.201822 Novemba 2018 Kampeni za uchaguzi zimeanza rasmi leo Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Desemba, kumchagua mrithi atakaechukua nafasi ya Rais Joseph Kabila. Nakili kiunganishiMatangazo