Maandamano hayo ya kumpinga Rais Joseph Kabila yamesimamishwa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuwapa nafasi wanasiasa kupata ufumbuzi wa tofauti zao. Waandaaji wanataka serikali iwaachie wafungwa wa kisiasa.
Matangazo
J2.19.03.2018 Catholic Church postponds demos - MP3-Stereo