1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kansela Merkel apata pigo la kumpoteza kiongozi mwingine wa CDU

Josephat Nyiro Charo19 Julai 2010

Meya wa Hamburg, Ole von Beust amejiuzulu mwishoni mwa wiki iliyopita

Meya wa mji wa Hamburg, Ole von BeustPicha: AP

Na hapa Ujerumani ,Kansela Angela Merkel na chama chake cha CDU wamepata pigo kubwa baada ya meya wa mji wa Hamburg, Ole von Beust kujiuzulu mwishoni mwa wiki iliyopita. Kiongozi huyo ni wa sita wa ngazi ya juu kujiuzulu katika kipindi cha miezi kumi.

Chama chake cha CDU pia kimezipoteza nafasi za uongozi katika majimbo ya Thuringia, Baden-Wuerttenberg, Lower Saxony na hivi majuzi North Rhein Westphalia. Hata hivyo chama hicho kinasisitiza kwamba bado kina ushawishi na kiko imara. Ili kupata tathmini kamili nimezungumza na Bibi Hannelore Steere, mwandishi habari mstaafu mjini Berlin na anaanza kwa kuuelezea umuhimu na uzito wa siasa za Hamburg kitaifa.

Mwandishi, Peter Moss / Hannelore Stier

Mhariri, Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi