1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kapteni mwanamke wa Kivuko Tanzania, MV: Mafanikio

03:33

This browser does not support the video element.

29 Oktoba 2021

Mnamo mwaka 2012, Mayasa Mzandi alikuwa kapteni msaidizi kwenye boti iliyopinduka baharini kati ya Dar es Salaam na Zanzibar. Tukio hilo lingali akilini mwake lakini halikumvunja moyo. Kutokana na bidii yake ya mchwa, kwa sasa yeye ni mwanamke pekee ambaye ni Kapteni Mkuu wa kivuko kinachosafirisha abiria na mizigo kati ya Msemo na Msangamkuu kusini mwa Tanzania. Salma Mkalibala anasimulia zaidi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW