1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mafunzo

Karandinga: Kujitokeza

2 Februari 2022

Katika mji wa Swangoly, barani Afrika, Jeremy anakabiliwa na unyanyasaji na ubaguzi kutokana na mwelekeo wake wa kijinsia. Rafiki yake, Celia alipigwa risasi katika shambulizi la kupinga vitendo vya ushoga.

Crime Figters Episode 6 Out of the Shadows
Picha: DW

Sio tu polisi na wanasiasa wanaosababisha hatari kwa kijana huyu mwenye miaka 19. Jeremy pia anajutia kukosekana kwa uelewa na kutoungwa mkono na familia yake mwenyewe. Mchezo huu wa vitabu vya kusikiliza vya Karandinga unafichua hali ya maisha ya kutisha kwa wahusika wakuu ambao wanadharau tamaduni za zamani na wanaopinga ubaguzi. Tunaungana na Jeremy na pacha wake wa kike Gael katika harakati za kutetea usawa na kuishi kwa amani bila kujali mwelekeo wa kijinsia. Hadithi hii imeandikwa na Hurcyle Gnonhoué kutoka Benin

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Onesha taarifa zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW