1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mafunzo

Karandinga kutangazwa kwenye redio yako

2 Machi 2017

Kama unapenda kuvitangaza tena vipindi vya Karandinga, angalia jinsi unavyoweza kuwa mshirika wetu.

Symbolbild Radar
Picha: Fotolia/sss78

Je unataka michezo ya Karandinga inayotayarishwa na DW ipatikane kwa ajili ya wasikilizaji katika jamii yako?

Je unafanya kazi katika kituo cha redio na ungependa kuirusha katika mpangilio wa vipindi na matangazo yako michezo yetu ya redio bure kabisa bila malipo?

Hakuna tatizo! Angalia idara inayohusika na usambazaji katika eneo lako kwa kubonyesha kiunganishi hapo chini.

 

 

 

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW