1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mafunzo

Karandinga: Upotevu Mjini Pyto

4 Machi 2020

Tayo anahusika na kusimamia mageuzi ya ukataji mkaa kwenye mji wa Pyto. Mjomba wake, Felix ambaye ni kiongozi wa chama cha wakataji mkaa, anatoweka.

DW Crime Fighters Serienmotiv „A disappearance in Pyto“

Akiwa na miaka 21, Tayo Shegun anakumbana na changamoto kubwa katika kazi yake ya kwanza: Anasimamia mageuzi ya ukataji mkaa kwenye mji wake wa Pyto, kituo kikuu cha ukataji na uchomaji mkaa nchini. Serikali imetoa mwongozo mpya kuifanya sekta hiyo iepukane na uharibifu wa mazingira na uwazi zaidi katika utendaji ili kupunguza msongamano na kudhibiti biashara ya magendo hasa na Ulaya. Mambo yanabadilika ghafla na kuwa mabaya wakati mjomba wake Felix, mwenyekiti wa Chama cha Wachoma Mkaa, anapotoweka. Anatuhumiwa kuiba mkaa wote kwenye mji huo, ambao ulikuwa umehifadhiwa na shirika la Tayo. Candice, anayesimamia mazingira na Jerome, diwani anayehusika na masuala ya mazingira wanaahidi kuupata ukweli. Je ni kweli Felix mwizi wa mkaa?

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Onesha taarifa zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW