Vyombo vya habari"Karibuni" hapo zamani za kale17.01.201317 Januari 2013Hebu sikiliza kipindi hiki cha "Karibuni" cha mwaka 1974 na onja ladha ya umahiri wa watangazaji wakongwe wa Idhaa ya Kiswahili kwenye miaka hiyo ya 1970, wakati huo ndio kwanza ikitimiza muongo mmoja tangu kuanzishwa.Nakili kiunganishiTimu ya Idhaa ya Kiswahili katika miaka ya 1970, Cologne.Picha: Uli EhlichMatangazo