1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon nchini Kenya

1 Februari 2007

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon yuko jijini Nairobi,Kenya ambako amefanya mazungumzo na Rais Mwai Kibaki na pia amekutana na watumishi wa Umoja wa Mataifa nchini Kenya.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki MoonPicha: AP
Oumilkher amezungumza na mwandishi wetu Mwai Gikonyo ambaye anatuelezea juu ya ziara hiyo ya Katibu Mkuu.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW