Mkuu wa upinzani DRC, Moise Katumbi, yuko Afrika Kusini kwa matibabu, wakati ambapo anatakiwa kujibu mashitaka kortini. Anashutumiwa kuajiri mamluki na kutishia usalama wa taifa, madai aliyoyakanusha.
Matangazo
[No title]
DW imezungumza na mwenyekiti wa chama kimojawapo cha upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, muungano kwa ajili ya hali ya kuaminiana kitaifa, Justin Bitakwira, kutaka kujua upande wa upinzani unaitathmini vipi hali nchini humo.