1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kazi – Kipindi 5 – Mwalimu

9 Novemba 2010

Tutaiangazia sekta ya elimu huko Lagos Nigeria.Kwa jumla waalimu hulipwa mshahara mdogo.Lakini kwa baadhi yao, la muhimu ni hamasa ya kufundisha na hamu ya kuwapatia ufahamu wanafunzi wao.