JamiiTanzaniaKazi ni kazi, haina mwenyewe!03:09This browser does not support the video element.JamiiTanzaniaLilian Mtono04.01.20234 Januari 2023"Hapa kazi tu", pengine ndivyo anavyosema mwanamama huyu anayeongoza uzalishaji kwenye kiwanda cha chaki. Kuna mengi ya kujifunza hapa. Tafadhali tizama video hii kwanza, kisha utuambie. #Kurunzi. Nakili kiunganishiMatangazo