1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kazi ya uokozi yaendelea Ukraine

19 Novemba 2007

Nchini Ukraine,waokozi wanaendelea kuwasaka zaidi ya wafanyakazi 30 walionasa katika mgodi wa makaa ya mawe,kama mita 1,000 chini ya ardhi,kufuatia mripuko wa gesi ya methani uliotokea siku ya Jumapili.Watu 69 wameuawa na zaidi ya wachimba migodi 360 wamefanikiwa kutoka nje. mgodi wa Zasyadko ikisemekana kuwa mgodi huo unajulikana kama ni wa hatari kubwa sana kuliko migoodi yoyte nchini Ukraine.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW