1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya ingali inasubiri kurudishwa kwa ngoma ya Wapokomo Ngadji

06:12

This browser does not support the video element.

25 Juni 2021

Ngoma 'takatifu' ya Ngadji ya jamii ya Wapokomo kutoka Kenya, ilichukuliwa na maafisa wa kikoloni zaidi ya miaka 100 iliyopita. Hadi leo ngoma hiyo ingali inahifadhiwa katika makavazi ya London Uingereza. Ni kati tu ya maelfu ya sanaa ambazo zinahifadhiwa katika makumbusho ya ughaibuni. Lakini hakuna ajuaye idadi kamili ya vitu vinavyochukuliwa na hata mahali viliko kwa sasa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW