AfyaKenya katika tahadhari kuhusu ebola01:37This browser does not support the video element.Afya17.06.201917 Juni 2019Kenya iko katika tahadhari kuhusu uwezekano wa mripuko wa ugonjwa wa ebola nchini humo, baada ya mwanamke mmoja kuonyesha dalili za ugonjwa huo. Uchunguzi unafanywa kuthibitisha au kuondoa hofu kutokana na ugonjwa huo.Nakili kiunganishiMatangazo